Inasikitisha sana kifo cha huyu bwana Leonard
Mtensa kilichotokea ndani ya gari lake, mpenzi
wake anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
Hapa chini ni picha ya huyo dada na picha ya
marehemu.
Huyu ndie marehemu bwana Leonard Mtensa
alikutwa na mauti ndani ya gari lake aina ya IST
akiwa na mpenzi wake.
Post a Comment