Featured

    Featured Posts

NAPENDA KULALA MTUPU KABISA, SIPENDI KUBANWA BANWA

Binti mmoja aliamua kujianika na kuandika
kwenye wall yake ya facebook kwamba
hapendi kubanwa hivyo huwa analala bila
nguo siku zote isipokuwa kwenye siku zake
tu, binti huyo pamoja na yote pia alidiriki
kutupia na picha yake inayomuanyesha
akiwa kitandani akiwa kweli mtupu na
kujistiri na kataulo tu kadogo.
Kiafya inasemaka ni vyema pia kulala bila
nguo kabisa kwani wakati wa usiku ndio
mwili unafanya modifications nyingi hivyo ni
wakati mwili kupumua na relax hivyo kwanini
tena ujibane bane na manguo..? Kiafya pia
haishauriwiii..!!

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Featured Posts

Recent Posts

About us

Popular Posts

Translate

Total Pageviews

Copyright © jaka classic | Designed By Code Nirvana