nterview ya Chris Brown aliyofanya na kipindi cha
‘Ebro in the Morning’ kupitia Hot 97 hivi karibuni
ilifungua mambo mengi kuhusu masha yake,
mahusiano yake, na muziki wake pia.
Upande wa muziki Breezy alitaja viwango
anavyotoza wasanii wanaotaka kumshirikisha
kwenye nyimbo zao.
Breezy alisema kiwango anachotoza mara nyingi
kwa wasanii wanaotaka kumshirikisha ni kama
$250,000 ambayo ni sawa na zaidi ya Tsh milioni
426.
Akaongeza kuwa kama wimbo ni hit basi ataufanya
tu lakini atahitaji kupata mgao kwenye ‘publishing’.
“It depends. Some people I give a homie price to…
The most I charge is like $250,000… If the song’s
already a hit, then I’ll get on it. But I’m still gonna
take some publishing…and if they say they can
only give you $30,000, I need 50 percent of the
publishing.
‘Cause I’m gonna get on the record, not to toot my
own horn… I’ve gotten on records from a new
artist and they’ve went No. 1. I will take a
percentage of the publishing. If I’m gonna give you
a No. 1, I’m gonna capitalize off it as well.”
Mnigeria Wizkid ndiye msanii wa Afrika ambaye
hivi karibuni alithibitisha kufanya collabo na
Breezy. Wimbo waliofanya unaitwa ‘African Bad
Post a Comment