Featured

    Featured Posts

UJUMBE WA LULU WALIZA WATU HUKO INSTAGRAM


Staa wa bongo muvie Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki. 

Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. 

Lulu aliamua kuandika jumbe kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, “Bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila
 kukuona wala kukusikia baba, Ninaamini bado tupo nawe kiroho na ninaamini zaidi nasfi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania. Inaweza kuchukua miaka na miaka kukuelezea. You still live in me dady and you are dearly missed.R.I.P dady yang
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Featured Posts

Recent Posts

About us

Popular Posts

Translate

Total Pageviews

Copyright © jaka classic | Designed By Code Nirvana