Featured

    Featured Posts

PICHA ZA HARUSI YA KIM NA KANYE, ZAWEKA HISTORIA HUKO INSTAGRAM..!! PICHA ZA HARUSI YA KIM NA KANYE, ZA


Staa wa mitindo duniani pamoja na kuonekana kuwa kimya kwa sasa lakini ameonekana kuvunja rekodi katika mtandao wa kijamii wa Instagram kupitia picha zake za harusi na staa mwenzake Kanye West.
Wawili hao ambao ambao wamejaliwa mtoto wa kike waliyempa jina la North,walifunga ndoa mwaka huu mwezi May na picha zao zilianza kusambaa mara tu baada ya kumalizika kwa sherehe ya harusi hiyo ya kifahari iliyofanyika nchini Italy na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali duniani.

Picha za mastaa hao zimeweza kutazamwa na watu wengi na zimetangazwa kama picha zilizopendwa zaidi na mashabiki kwa kufikisha idadi ya watu milioni 2.4 mpaka sasa.
Kim Kardashian alionekana kuwa kimya baada ya hivi

karibuni kupiga picha kwenye jarida la nchini Marekani zikimuonyesha akiwa mtupu na kuzungumziwa na mashabiki wake huku mumewe akionekana kutojali.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Featured Posts

Recent Posts

About us

Popular Posts

Translate

Total Pageviews

Copyright © jaka classic | Designed By Code Nirvana