Good news tulizozipzta ni kwamba
Mtangazaji wa TV Penny Mungila aka
VJ Penny na staa wa Bongo Movie
Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao
baada ya kutoelewana takribani miezi
kadhaa iliyopita.Upatanisho huo
umefanywa na Junaitha ambaye
aliandaa chakula cha usiku katika
hoteli ya Sea Cliff Hotel Dar es
Salaam.
Mastaa hao wawili walitengana baada
ya kila mmoja kuwa na uhusiano wa
kimapenzi na staa wa Bongo Fleva
Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz
huku wakiacha gumzo katika mitandao
ya
Post a Comment