Rapper Eminem amewahi kukiri
kuwa angepoteza maisha kwa
matumizi ya dawa za kulevya, kwa
jinsi ilivyoonekana kwenye picha za
hivi karibuni ni kuwa bado madhara
ya dawa hizo yanaendelea
kuonekana kwenye mwili wa
Eminem haswa kwenye sura yake.
Sura yake imekuwa tofauti sana
alivyokuwa kwenye tuzo za Wall
Street Journal Innovator Of The Year
mjini New York jumatano hii.
Post a Comment