Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa
na raha,ni lazima ukiandae vizuri..
Katika suala la mapenzi, watu wengi
wameshindwa kufikia kilele cha raha
kwa kutoelewa ni jinsi gani
wawaandae wapenzi wao..
Tatizo hili lipo pande zote wanaume
na wanawake..
Lakini kwa kiwango kidogo wanaume
wanajitahidi kuwaandaa wapenzi
Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa
na raha,ni lazima ukiandae vizuri..
Katika suala la mapenzi, watu wengi
wameshindwa kufikia kilele cha raha
kwa kutoelewa ni jinsi gani
wawaandae wapenzi wao..
Tatizo hili lipo pande zote wanaume
na wanawake..
Lakini kwa kiwango kidogo wanaume
wanajitahidi kuwaandaa wapenzi wao
kabla ya kuingia uwanjani.
Baadhi yao wanatambua sehemu za
kuamsha hisia za wapenzi wao na
wengi hawajui kabisa..
Mnapoandaana vizuri kabla ya mechi
kuna wasaidia wote kuingia uwanjani
huku akili na mwili vimechangamka
kwa hisia kali za mahaba..
Kwa mwanamke inamsaidia asiweze
kuchubuka wakati wa tendo kwa
sababu sehemu zake za siri zitakuwa
tayari zimelainika..
Pia huwasaidia kusogeza hisia zao
karibu kwani wanawake wengi hisia
zao huwa ziko mbali, ndio sababu
wengi wao huwa hawafikii mshindo
kwa sababu ya kukosa wanaume
wanaojua kuandaa vizuri.
JINSI YA KUMUANDAA MPENZI
WAKO:
Potezeni saa moja mkiwa katika
maongezi ya kimahaba.,huku mkiwa
mmekaa 0 distance.
Taaratibu mikono yenu ianze
kutembea kwenye mwili wa kila
mmoja.
Hakikisha inafika kila sehemu ya
mwili wa mpenzi wako.
Kutanisheni midomo yenu, ndimi zenu
zikutane, taaratibu nyonyaneni kwa
zamu..
Kila mmoja apenyeze mkono wake na
ashike sehemu za siri za mpenzi kwa
dakika 5 zinatosha kabisa..
Penyeza ulimi wako masikioni kwa
mpenzi wako..
Uuzungushe taaratibu huku
ukimpumulia hewa pole pole..
Shika chuchu za mpenzi wako kwa
ncha ya vidole,taaratibu zifinyefinye
bila kumuumiza.
Unaweza pia kutumia ulimi..
Kumbuka usiwe na haraka katika
kumuandaa mpenzi wako...
Naomba kwa leo niishie
hapa,mengine tutajifunza kwenye
mada
Post a Comment