Featured

    Featured Posts

#BREAKING_NEWZ PICHA ZINAHUZUNISHA; MAMA AMTUPA CHOONI MWANAE, IRINGA

Na Mwandishi Wetu, Iringa.
Mama mmoja mjini Iringa aamua kumtupa mtoto
wake chooni mara baada ya kumzaa nyumbani.
Mtoto huyo wa kiume aliyezaliwa tarehe 4/11/2014
majira ya jioni na mama huyo na kuamua
kumdumbukiza chooni ambapo kisa mpaka sasa
anamkwepa mumewe aliyepo safarini asijue kuwa
amepata mimba na kuzaa.
Hata hivyo chanzo cha habari kinasema kuwa,
mama huyo kwa jina la magdalena limano (32)
mkazi wa Iringa anatabia ya kumdanganya
mumewe na kutoka na mabwana wengine pindi
mumewe akiwa safarini kikazi.
Wasalia wetu wakimtoto shimoni.
Mtoto akiwa ametolewa shimoni.
Wasamalia wema walifika eneo la tukio.
Mtoto huyo aliyetupwa choon majira ya jioni mara
baada ya kuzaliwa na kukutwa asubuhi ya tarehe
5/11 asubuhi akiwa analia ndani ya choo na
majirani na kutoa taarifa.
Mpaka sasa mtoto ni mzima wa afya na yupo
katika uangalizi mzuri wa hospitali huku mama
akishikiliwa na jeshi la polisi akisubiri kupandishwa
mahakamani.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Featured Posts

Recent Posts

About us

Popular Posts

Translate

Total Pageviews

Copyright © jaka classic | Designed By Code Nirvana