Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda wakipozi |
IMEGUNDULIKA kuwa
uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh
Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo
kutokana na kupishana imani.
Nuhu alitegemea shilole ndiye amfuate yeye kwani ni kawaida mke kumfuata mume. Sasa msikie Shilole:
Mimi siwezi kubadili dini maana Nuh ndiye alisema atabadili hata hivyo
familia yangu haiwezi kunikubalia kubadili dini kwa ajili ya kufunga
ndoa kama amesema naye hawezi kubadili basi tutaishi tu maana hata ndoa
ya serikali yenyewe hawezi na maisha siyo lazima tuoane.”
gpl.
Post a Comment